Saturday, August 9, 2008

DEFAO NDANI या MOROGORO



JENERAL DEFAO AKIWARUSHA WAKAZI WA MOROGORO BAADA YA KUTUA KIMYA KIMYA NDANI YA BONGO

MSHIKAJI AKIWASILI AIR PORT


MSANII WA KIMATAIFA KATIKA MIONDOKO YA RAGA SHAGY AKIWASILI NDANI YA TZ MAKAMUZI YALIKUWA MAZURI ILE MBAYA

CHIDI BENZI

CHIDI BENZI NDANI या VIWANJA VYA LEADERS AKIWA न TIRSHIT YA KUMUENZI MSANII MWENZAO TID AMBAYE ANATUMIKIA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA

HAYO NI NDANI YA LEADERS

HAPA AY HAPA F.A WAKIMSINFDIKIZA MWANAMUZIKI व KIMATAIFA SHAGY NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS

Tuesday, July 29, 2008

ATINGA uchi MAHAKAMANI


huyu ndo mama aliyetinga uchi wa mnyama mahakani huko zenji

Sunday, July 20, 2008

aisha kupotezwa na h baba


mnenguaji maarufu wa twanga pepeta isha madinda inasemekana kuwa anaujauzoto wa msanii marufu h baba ambaye anateza na miondoko ya poteza wadaku wetu wametudokeza kuwa hivi sasa hao watu wapo kwenye mahaba na sio siri tena

pongezi baada ya ushindi


wazili mizengo pinda akipokea kombe kutoka kwa nahodha wa timu ya vijana iliyofanya vizuri dodoma bungeni kulia ni waziri wa michezo na utamaduni

Sunday, June 8, 2008

हीई ILIKUWA NAFASI yakujaribu kurudisha umaarufu wake



aktafakari cha kufanya ili aweze kuandikwa tena magazetini



HIVYO NDIVYO vituko VYA NORA


HIVYO NDIO vituko nya nora wa SASA
kutafuta umaarufu KAZI bwanaaaaaaaaa

दूउ KWELI SIKU HAZIGANDI YAANI NDO NALIVUA HIVYOOO


ni KAMA KUWA ANAKARIBIA KULIVUA TAJI la UMISSS LILOJAA MIZOZO KIBAO na KUSHINDWA KULIWAKILISHA IPASAVYO huko DUNIANI

sio SIRI TENA KAYAWEKA WAZI


MONALISA NA KING'AST WAKE MPYA BAADA YA KUMTEMA TYSON

HAO NDIO MAMISSS KUTOKA PANDE ZA UBUNGO



Baadhi ya washiriki wa kinyang'anyiro cha kumsaka mrembo wa kitongoji cha Ubungo jijini Dar es salaam, wakicheza miondoko ya Disco katika Club ya Maisha iliopo Msasani jijini, usiku wa kuamkia leo.

HANA jipya TENA zaidi YA mbwembwe


mwisho mwamp-amba AKIWA na kimwana chake kipya KATIKA awards ZA wasanii wa filamu inchini inasemakana YUPO HOI HANA TENA MBWEMBWE ZA ulevi

HUYU NDO criss turker wa उक्वेलिउक्वेली


YULE muigizaji wa marekani aliyeweza kujipatia umaruufu KIBAO kupitia filamu YA rush hours criss turker atua jiji arusha kuungana na waalikwa wengine KWENYE mkutano wa solven

Monday, June 2, 2008

MISS CHANG'OMBE MTOTO wa MCHUNGAJI



YULE MRIMBWENDE ALIYEJINYAKULIA TAJI la UMISS changombe IMEJULIKANA KUWA WAZAZI WAKE ni WAUMINI WAZURI na pia MZEE WAKE ni mchungaajii

HAPA WATAAMULIA TWENDE NYUMBANI


JAMAA ANAWEZA KUUWA HAPA



huyu ni askari wa kike aliyefumaniwa na bwana wake na njema nyingine kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Friday, May 30, 2008

HEEE KUMBE VIJISENT VYETU KAWEKEZA NJE


Kugundulika kwa akaunti ya mabilioni ya fedha inayohusishwa na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM) katika benki moja katika visiwa vya Jersey, Uingereza, hivi karibuni, kunaonekana kuwashtua na kuwaamsha usingizini wabunge.

HAHAHA MASHAHIDI WANASHINDWA HATA KUNITAMBUAAAA


MSHTAKIWA ZOMBE AKITABASAMU BAADA YA SHAIDI MMOJA KUTOWEZA kumtaambuaa ZOMBE

MIMI sio FISADI ASEMA MKAPA


ASEMA ALIWANJIMA NAFASI ZA UPENDELEO NDO WANAOMCHAFULIA CV YAKE

Thursday, May 29, 2008

SASA ZOMBE KUWA ZOMBE KWELI


ZOMBE AKISUBILIA MASHAHIDI KUTOA USHAHIDI WAO

HUYU NDO ALIYEZALIWA BILA VIUNGO MUHIMU


MAMA AJIFUNGUA MTOTO AKIWA HANA VIUNGO MUHIMU KAMA MIKONO na MIGUU

Thursday, May 22, 2008

WATOTO wa TEMBO KUVURUGA MJINI na KEHEMA FUMBE-

BAADA YA KIMYA KIREFU SASA WATOTO wa TEMBO kuja na ALBUM YA KAHEMA FUMBE (KISWAHILI)MI SIO MTUMWA.AKIWA na BAND NZIMA YA SFB.I JAMAA WAPO KAMBINI KUJIAANDAA na uzinduzi ,WASIWASI WAZITANDA bendi KONGWE ZA MJINI WATOTO wa TEMBO HAOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO MJINI SASA

HAPA NDANDA HAPA PAPA WEMBA

NDANDA AKIWA na moja YA MANGULI wa SIKU NYINGI PAPA WEMBA ambaye pia ANATAMBUA KAZI YA WATOTO wa TEMBO KAMA IPO JUU SANA

NDANDA AKIWA na WATOTO wa TEMBO SPEED ILELE


HAPA NDANDA AKIWA NA WATOTO WA TEMBO NDANI YA UKUMBI WA DIOMOND VIP HALL NDANI YA STRY YA WATOTO WA TEMBO

HUU NDO UJIO ULIKUWA UKISUBILIWA na WENGI



hizi m0ja kati yashoo ambazo jmaaa anfunika ile mbaya sana kama unakumbuka hii ilikuwa ni kili award iliyofanyika pale diomond VIP HALL

heeeeeeeeee jamaani south wanachoma moto mkome kwenda


Policemen try to save a man who was set alight by a mob during clashes believed to be linked to recent anti-foreigner violence in Reiger Park informal settlement east of Johannesburg on May 18. The man died later in hospital. Hundreds of foreigners took refuge in police stations and churches as week-old violence against them spread across townships

The 33-year-old soccer hero has been asked to join showbiz mate Bono on an expedition up Africa’s highest peak Kilimanjaro.

beckam kuja bongo kupanda mlima kilimanjarol


The 33-year-old soccer hero has been asked to join showbiz mate Bono on an expedition up Africa’s highest peak Kilimanjaro.

Wednesday, May 21, 2008

SASA mihela NANI atailipa


HUYU NDIYE aliyekuwa gavana wa bank kuu ambaye HAPO nyuma kidogo alikuwa na mikashifa YA kujimwagia mipesa KWA njia isiyo halali sas hatunaye tena

Tuesday, May 20, 2008

NANI KAKWAMBIA MIMI NINA MIAKA 18


MTOTO RAMA akiongea na MUENDESHA mashtaakaa JAMBO FLANI

akudo walisumbua SANA PALE diomond



MOJA KATI YA MADENSA WA AKUDO AKIPAGAWISHA UKUMBINI

SIJUI NDO KUONA AIBU HATA AIELEWEKI



DEFAO AKIFANYA VITU NYAKE PALE MSASANI

बाबा YA मुजिकी AKIFANYA LILILOMLETA

AKIDHILIHISHAKUWA MZIKI HABATISHI DEFAO ALIFANYA KWELI HAPA AKIKATA MAUNO GENELAR DEFAO

BADO NIPO KATIKA GAME DEFAO

MTANGAZAJI wa KITUO CHA EATV AKIWANA SWAIBA WAKE BEAN KINYAIYA NDANI YA MSASANI BEACH

BOZI BOZIANA AKIFANYA LILILOMLETA

BOZIBOZIANA AKIFANYA VITUVYAKE NDANI USIKUWA akudo PALE DIOMONDHAKIKA ALIKOSHA NYOYO ZA MASHABIKI

HAOO NDIO WAZEE wa MASAUTI


WAZEE wa MASAUTI WAKIFANYA MAMBO YAO NDANI uzinduzi wa ALBUM YAO MPYA

ILIKUWA NI USIKU wa akudo na BOZIBOZIANA


moja kati YA MADENSA wa akudo WAKIFANYA MAAJABU NDANI YA uzinduzi wa ALBUM YAO MPYA ILIKUWA USIBONYEZEE MWANA

hizi ni event ZA watanzania dalas texas



moja kati ya event zinazofanyika huko texaz dalas na watanzania wanaoishi huko ni FULL kujiachia na pia matangazo KAMA haya hutaarishwa na mtanzania ambaye ni graphic professinal wa hukousipime KAZI zake

DU HII KALI SANA JAMAA ALIKUTWA KATIKATI YA jiji AKIKATA MITAA

ja
SIKU hizi KUKUTANA NAYE KARIOAKOO ni KAWAIDA TU ni BAADA YA KUTEMWA na ILE COMPANY

MISS CHANG'OMBE NDANI YA TCC CLUB

hao ni mamiss watakao kutana kugombania taji la miss chang'ombe wakiwa mazoezini

Wednesday, May 14, 2008

moja kati YA YA MANGULI wa DANCE CONGO BOZIBOZIANA


moja kati YA wanamuziki wanaoheshimika CONGO na afrika bozibozi ametua NDANI YA jiji la kandolo kusindikiza uzinduzi wa bendi YA akudo saundooooooo

KURUDI TENA KUNDINI BAADA YA KIKAO CHA DHARULA



HAO NDIO WALE JAMAAWANAOFANYA MAJABU KWENYE moja kati YA VIPINDI VYATELEVISION YA EATV YASEMAKENA KUNUWEZEKANOwa KURUDI KUNDINI BAADA YAKIKAO CHA DHARURA

Tuesday, May 13, 2008

HUYU NDIYE MSANII ALIYEPIGA PICHA ZA NGONO


YULE MSANII ALIYEWAHI KUTAMBA na KASINGO KABINTI MLOKOLE AMEPATIKANA na HATIA YA KUPIGA PICHAZA NGONO KAMA INAVYOONEKANA KWENYE PICHA HAPO FULL KUTABASAMUUUUUUUUUUUUU

SUPER STAR na MBWEMBWE ZA SIMU


moja kati YA MASUPER STAR wa JIJINI WAKIBADILISHANA NO ZA SIMU KWENYE MO0JA kati YA KUMBI ZA STAREHE MAENEO YA ..................................

हिजो NDIZO ZANA ZA SANGOMA ALIYEKAMATWA


HIVYO ni बाधी YA VITU ALVYOKAMATWA NAVYO SANGOMA HUYO ARUSHA

Friday, May 9, 2008

RADA RADA YAZUA SURA म्प्या KWA CHENGE



FULL KUCHANGANYIKIWA JAMAA WANATAKA KUONDOKA NAYE BAADA YA UCHUNGUZI KUKAMILIKA EBWANA NI KUHUSU RADA ILIYONUNULIWA

व्ह्य्य्य्य्य्य्य्य्य्य्य्य्य्य??????????


SASA MZAZI UTAFICHA KIPI KAMA KILA KITU KIPO WAZI HAINA HAJA TENA WATOTO SI WATOTO TENA

ZE COMEDY KUIMWAGA EATV


KIONGOZI WA ZE COMEDY SEKIONE ATANGAZA RASMI KUACHA KAZI EAT ILIKUWEZA KUFANYA KAZI YA KUNDI LAKE VILIVYO HAYO ALIYAONGEA HAYO ALIPOKUWA na WAANDISHI wa HABARY

12 HAWAPO TENA HUKU 19 ni HOI


HII NDIO AJARI ILIYOTEKEA IKITOA ROHO ZA WATU 12 PAPO HAPO NA WENGINE 19 KUJERUHIWA NATOA POLE KWA WOTE WALIOPATWA NA AJARI JII