Friday, May 30, 2008

HEEE KUMBE VIJISENT VYETU KAWEKEZA NJE


Kugundulika kwa akaunti ya mabilioni ya fedha inayohusishwa na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM) katika benki moja katika visiwa vya Jersey, Uingereza, hivi karibuni, kunaonekana kuwashtua na kuwaamsha usingizini wabunge.