Sunday, July 20, 2008

aisha kupotezwa na h baba


mnenguaji maarufu wa twanga pepeta isha madinda inasemekana kuwa anaujauzoto wa msanii marufu h baba ambaye anateza na miondoko ya poteza wadaku wetu wametudokeza kuwa hivi sasa hao watu wapo kwenye mahaba na sio siri tena