Sunday, June 8, 2008

HAO NDIO MAMISSS KUTOKA PANDE ZA UBUNGO



Baadhi ya washiriki wa kinyang'anyiro cha kumsaka mrembo wa kitongoji cha Ubungo jijini Dar es salaam, wakicheza miondoko ya Disco katika Club ya Maisha iliopo Msasani jijini, usiku wa kuamkia leo.